Hahaha one push up
Hahahahaha
Heheeh uliacha mke? Sidhani km utamkuta maana wahenga hawajawahi kuacha wake za watu salama.I hope mke wangu yupo salama
Morning hiGood morning Tanzanian people.
Anza na hiiNataka like 10
Nilimuacha ndiyo na ntatoa mtu busha sitaniwiHeheeh uliacha mke? Sidhani km utamkuta maana wahenga hawajawahi kuacha wake za watu salama.
AMUN RAWakuu. Ni lazima nilale angalau kwa masaa sita/saba hivi. I will come back firing. Hata kama sijakupa likes kwa sasa, don't worry. Nikirudi utazipata tu tena za kutosha. Nyote nawatakia J'mosi/Sabato njema!
Akiwepo shukru MunguNilimuacha ndiyo na ntatoa mtu busha sitaniwi
Morning nsamakaMuch respect sana kwenu