Numbisa yupo hapa anamwaga udambwi dambwi juu ya kulinda na kuponya afya zetuTunapata elimu kubwa sana juu ya afya zetu
Hata uwepo kwa wife,lakini akipita mwingine na mzigo lazima uutengenezee mazingira japo kwa kufikiria tu[emoji23] [emoji23] [emoji23].Eee Mungu nipe miaka mingi ya kuishi niweze kushuhudia uumbaji wako huu[emoji39] [emoji39] [emoji39]Wanaume maisha yetu ni magumu!!!
Uzi mtamu lakini mbunifu wake kajitoa, ajabu ya mwakaUzi safi safi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa naishia ku outline tu...Maswali yalikuwa yanakera yale,na yale mengine unaambiwa swali namba flani ni lazima
Hahahahaha dahHata uwepo kwa wife,lakini akipita mwingine na mzigo lazima uutengenezee mazingira japo kwa kufikiria tu[emoji23] [emoji23] [emoji23].Eee Mungu nipe miaka mingi ya kuishi niweze kushuhudia uumbaji wako huu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kwamba na wewe unaombea???No comments