mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli tunamuhitaji sana cocoMama cocochanel, wewe ni nguli kwenye lugha ya Kiswahili. Uwepo wako hapa unanipa mafundisho mengi. Ilibaki kidogo niamrishe maandamano ya kukusaka na kukurudisha kundini
Sent using Jamii Forums mobile app