Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wataalamu wa chuo hicho walikusanya washiriki 20,667 wa umri kati ya miaka 40 na 79 , miongoni kila siku walitembea kwa dakika 20 na wengine hawakupewa zoezi hilo.
 
mfululizo walipona au kupunguza hatari ya kufariki kwa maradhi hayo. Wataalamu hao walirahisisha zaidi kwa kusema kuwa hata wale ambao hawakutembea dakika zote 20, mara moja bali waligawa mara tatu kwa siku walipata faida pia.
 
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO), watu wengi zaidi katika maeneo yote duniani wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa kuharusi, moyo na saratani kutokana na kutokufanya mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…