Nauliza huko mjini hujamaliza tu kazi urudi nyumbani? Au ndio ushahamia kbs huko?[emoji124] [emoji124]presha presha ya nini... [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
Nilijitoa lakini nikarudi ila safari hii ni mambo ya muhimu tu siyo misambwanda bro...IG ikabidi ujitoe maana hatari tupu
SanaMataliban ni shida!
KufanyajeNa.ww ndio umesababisha
Ipo shughuli pevu sana hapoNi vurugu mechi utawala wa huyu jamaa...
Kusemwa mi mfupi, na wakati niko na urefu wa kutosha km twiga.Kufanyaje
Internet pastor. 'Nough said...[emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza mrundikano kwenye meza au masinki ili kuleta wepesi wa kusafisha jiko. Unapokuwa na vitu vingi ndivyo inavyokupasa kuvisogeza vyote kabla ya kusafisha na hii inakupa kazi kubwa.
Mzee mwenzangu nimekuja mbio nikusalimie.Habari ya jumapili? Endelea na darasa...