Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni burudani tosha kwa kweli. Nitakualika kitu cha mzee wa kuliamsha dude kikitua nchini. Naye kakulia hapa hapa Koromije na alikuwa anakuja mara kwa mara na helikopita yake. Tunachangishana hapa tujenge uwanja ili Gulfstream iweze kutua. Hiyo sasa itakuwa sherehe kubwa sana na nitakualika shemeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…