Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu ni kweli, kwa mtu yeyote aliye kulia au kuishi vijiji vya Kyela hao wadudu wanapatikana sana kwenye mstakaferi, kisamvu, kokoa, mananasi ya kienyeji, mipapai na hata kwenye miembe. Sikumbuki kama tumewahi kupata madhara zaidi ya kichocho tulicho kuwa tunakipata kwenye madimbwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…