Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Sidhani kama anataarifa za eloc labda za andjul tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Carba upo? Cole hajambo
Km we ushaelewa basi inatosha, wengine sio lazima waelewe.Ondoa hofu hata ukiniita nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe na ww ushamuona eeeh?Sidhani kama anataarifa za eloc labda za andjul tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji6] [emoji6]Km we ushaelewa basi inatosha, wengine sio lazima waelewe.
HahahahaEeh ni mm
Pokea likes zakoLeo uzi kwa kutoa likes yaani hadi inatia raha
Tumekuja
hilo ni gereza au ?
Ahsante mkuu,nami nimeungana nanyi kwa maana ya kushiriki kila tukio la kikoromije(kitaifa) litakapo fanyika huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni burudani tosha kwa kweli. Nitakualika kitu cha mzee wa kuliamsha dude kikitua nchini. Naye kakulia hapa hapa Koromije na alikuwa anakuja mara kwa mara na helikopita yake. Tunachangishana hapa tujenge uwanja ili Gulfstream iweze kutua. Hiyo sasa itakuwa sherehe kubwa sana na nitakualika shemeji.
Heshima yako mzee wa ini
Yamekuwa poa baada ya kukuona my princess.
[emoji124] [emoji124] kaa nami ni usiku sana,usiniache...[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji444]Yupo kwa mchepuko wake
Una vaa maglass[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sifa zingne subiri