carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kisela kiselaMwanaume hachambwi,labda kama unajiandaa kuishi maisha ya upweke hapo sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini shimba huyu hajawahi kuwa mwanasiasa hajawahi kuwa public servantHuyu jamaa ni shida. Alivyokuwa akimlalamikia Obama kucheza gofu na basketball. Miezi sita tu tayari anakaribia kuvunja rekodi ya Obama ya miaka yote minane. Wanasiasa !!!
Mkuu mbona tunashilikia tu[emoji23] [emoji23]Bro, usiwe unapotea hasa wakati huu ambapo KK karudi.
Haya ni majukumu ambayo inatakiwa tumpe kila mmoja ambaye ataweza...!Yap
Kitu kimoja kwenye huu Uzi ni kila kitu tunapata
Siasa
Mchezo
Afya
Elimu
Habari mbalimbali
Ni Endless Uzi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Weye nawe
Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sorry abeecarbamazepine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uvunguni[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mjomba kajificha wapi
[emoji15]I dont have a baby here
Koh koh[emoji36][emoji36]Hadi nakosa maneno mie
No,Ni tangazo flan ivi la HIV aids pale tbc international watoto wanasemaga,... Ur always right baby! Afu mwingine anasema ur such a charmer then she chuckles,... Ivo kweli auna babyake umu!? [emoji15]I dont have a baby here
Kuwa na rais tajiri kama huyu ni shida sana lakini marais wa America Sehemu yao ya kumpumzika ni Camp David nafikiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiko hiko ulichomaanisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona umejibu huna wakati hujui naomba nini
HahahahaLikes kwa kila post
Ndio chemical formula yetu
[emoji23][emoji23][emoji23]roho mbaya hiyo,me ningekutunzia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mikataba ya hilo shamba nilichoma moto maana ningejikuta nimeleta[emoji23] [emoji23] [emoji23]