Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu post na kulike post za wenzako sijaona likes zakoSalamu haileti mimba,..
Usie mpendq kaja[emoji23] [emoji23] [emoji23]CONSPIRACY nyingine hii
Mkuu likes post za wenzakoSafisha vyombo pale tu unapomaliza kupika,.. Kuepuka mlundikano na wadudu,... Acha jiko liko safi,
Mkuu post na kulike post za wenzako sijaona likes zako
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unakuta Mkinga ana mabasi 20 lakini nguo zake habadilishi mpaka zichanike ndo anavaa zingine. Go figure...
Hamna namnaNashindwa kuamini macho yangu
HahahaHuku nipo kupata ujuzi wa pwani,nikija bara mtafurahia matunda ya safari yangu,wali wa nazi,mahindi ya kuchoma yakiwa na ndimu na pilipili,mihogo na chachandu badala ya maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa uvuke na kama yupo si balaa hapoUsiseme kuna mamba mtoni kama hujavuka.
Ukishindwa nialike nna kijora kipyaaa sijakivaa[emoji23][emoji23][emoji23]kwa ajili ya hiyo kaziYaan nakusubiri kwa hamu huku nyumbani uje upate kichambo cha hatari