carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kumbe zizi lako halina uzio eeh[emoji23][emoji23]Mkuu SYB,ujio wa KK ni wa maumivu kweli,huyu jamaa amekuja na mbinu mpya yenye nguvu kweli ya kuharibu himaya zetu.Kiukweli sina raha kwa kweli...Nahisi hata wewe umepewa hiyo mbinu ndio maana umeamua kwenda Masaki bila ruhusa ya mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usisikilize maneno ya watu we njoo tu[emoji23][emoji23][emoji23]sitaki bhana ntaendelea na yale mazoezi yangu ya ku burn 26calories in 1min...majirani wagombanishi humu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4][emoji4][emoji4]Nitakutafuta faragha tuzungumze vizuri carbamazepine
ColeeeeA man of
Principle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji482][emoji482]shushia na hiyo kama huna tank la maji karibuHilo jina lako mtu akilitaja mara 5 mfululizo anapata kiu ya maji.
[emoji23] [emoji23]
Hiyo ni condition ngumu zaidi hata ya tembo kukimbia kwa speed of light.[emoji23][emoji23][emoji23]tena uandike kupitia kwa....
Hawajui tulipotokaTatizo wamesahau tumetoka wapi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mlete bhana watu hawana imani na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuita ujue?halafu hutaki kuitika?[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Dre ft Eminem
I need a doctor
Shida kubwa kwa mwanamume ni kumuoa mwamke mzuri aliyepitiliza. Carba anapata wakati mgumu maana kila mmoja anatamani angalau amguse.
Sent using Jamii Forums mobile app