cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mambo sivyo unavyoyaona.
YupoGoddess Isis upo?
Huyo mwanamke naye ameshakuwa maarufu wa kuolewa na kuachwa. AjipimeNaona anaanzisha kautani fulani hivi. Mara ya mwisho alitaka kukutana na sister huko Shy. Si ajabu ng'ombe wengine 35 wa mahari watatuangukia....
Hapa nimekuwa kama galasa[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji22][emoji22][emoji22]
Asante mkuu. Kesho saa kumi jioni hivi - Corolla nyeusi kuukuu kidogo hivi ukiiona inakaribia hekalu lako usighafilike!Hahahahaha karibu SHIMBA
Hahahhaa ni kweli speed ya Uzi huu inatisha sanaUzi unakimbia sana huu!! Sometimes inakua sio rahisi kupitia kila page!! Wacha nichukue Oda boda ili twende pamoja.
HahahqhaUjinga ni kusema "naenda Baa kula bata" wakati una mpango wa kula Kuku.
Wazuri kweli
DuUkipenda usipopendwa sawa nakutembea na bom mfukoni