cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Kusifiwa si kuona, shani nda kuionea.
And take care who cares youNi sawa na kumuendesha farasi kwenye maji halafu unamlazimisha ayanywe! Hilo haliwezekani...Love who loves you.
Yego jaji
Aliondoka na kichwa kichafu sasa kk karudi bado yeyeHivi mkuu Hochi min kapotelea wapi?
19:4519:02
HahahahahaMKE "mume wangu hizo pesa unazoenda kulewea baa kila siku si bora ungeziweka zikaja kutusaidia wakati wa majanga?"
MUME "mke wangu ungejua kua huko baa ndio kwenye majanga yenyewe hasa"
Ni tiba au ni kinga/virutubisho/visaidizi tu? Ni kweli leo unaweza kwenda kwa daktari na ukaambiwa una aggressive cancer na ukaanza kujitibu kwa kunywa juice/smoothie tu?
Mkuu habari za JumapiliDompo....
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahha kichwa sina shida na salamu hila mambo mengine ndio tabu inapoanzia
HahahahaHahahha kichwa sina shida na salamu hila mambo mengine ndio tabu inapoanzia
Robertson Winery
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
HahahahahaKama huu uzi ungekua ni WhatsApp group basi Kichwa Kichafu angekua ni Admin akisaidiwa na ISIS