mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kugonga likes kwa kila postWaungwana Wote wanafanya hivyo..
Kugonga likes kwa kila postWaungwana Wote wanafanya hivyo..
Hahahahaha Ben 10Anaitwa brown nafikiri ni ben10 wa wolper
Ma GT wa ukweli wajua dhamani halisi ya upendo na kufuata kanuni na sheria milizojiwekeaNajua mkuu. Kwa sisi wakongwe tumeshazoea hiyo hali lakini kwa mgeni mgeni kidogo tena GT kidogo ilinishangaza!
Hahahahaha acha uwezi fanya hivi afrikaWatu huko na mademokrasia yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
HahahahahaKiuno hichi hichi ambacho ni kiuno? Au kiuno kiuno Mkuu?😉😉😉
HahahahahaKiuno hichi hichi ambacho ni kiuno? Au kiuno kiuno Mkuu?😉😉😉
Mkuu
Huku hata tamasha halitaishaHahahahaha acha uwezi fanya hivi afrika
Viongozi wetu kama miungu watu
Mbona za kwako hatuzioni
Umiss mpka kwa wanaumeUnaitwa taja mwanaume unaevutiwa nae hapa jf
KkNimeiona tayari.Hainihusu labda kichwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] anataka kupewa likes tu kutoa hatakiMbona za kwako hatuzioni
Hahahahahacocochanel kasusa huku maana zilikuwa zinampunguzia buku 7 zake kwa siku sasa kaamua kubaki kule siasani tu 🙂🙂 ili asikose ngawira zake.
Hahahahahalol! hahahahahaha kaning'ang'ania eti nimpe ubuyu 🙂🙂 Ubuyu niliacha kumung'unya shule ya msingi lol! hahahahaha
Asante sana ubarikiwe SanaWakuu nimeshamwaga likes kwenye page 30, 10 more pages to go. Hali ikiruhusu baadaye naweza kupiga 20 nyingine kuwasuuza mioyo yenu.
Anafuata sheria na taratibu za kaziBadala ya kutoa mshedede yuko busy kuchukua picha! Mwanaume wa wapi huyu? Halafu binti ni mrembo ile mbaya. Angalia lips zilivyo bomba kwa vijuice, sexy lips.