The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Wivu ni kidonda
ukishiriki utakonda
ukishiriki utakonda
Ni kweli kuna mechi za usiku mkubwaItabidi tu hata nikisinzia wakati Cole anaangalia fresh tu
Watu wana AK 47 huko Masaki mkuu na ukienda tu kuvamia mageti ya watu unaweza kula cha moto. Sometimes ni pa kwenda utafikiri unakwenda Kibiti - na dua juu !!!Nenda tu mkuu maana kusalimiana ni jambo la kheri
Vat69