mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Makao makuu ya nchi yetu
Makao makuu ya nchi yetu
ndipo ninapoishiMakao makuu ya nchi yetu
You will be missedI will be back
Karibu tena. Likes bado zinagongwa pamoja na mijadala ya kila aina (isipokuwa siasa na dini!) na utani uliotukuka.sijaingia humu kitambo
Sent From Ikulu-Magogoni street
Stress mkuuHapo ndio huwa kuna akili fulani inakuja ya kuwaza kila kitu kwako unaona ni negative.
Huwa tunaanza kuilazimisha akili kuwqza vitu vizuri ndio jambo gumu
Nasi tugongee posts zotenaombeni like moja tu
Sent From Ikulu-Magogoni street
Hapana tunacare tunaowapendaNimekuwa mpole hadi mwendo wa pole pole unaona wivu
[emoji23][emoji23][emoji23] lionee huruma ini lako basiVat69
Kitu hatari sana hii
Kabisa chai ni muhimu muda woteWakati wowote ni wakati wa chai
HahahahahaWatu wana AK 47 huko Masaki mkuu na ukienda tu kuvamia mageti ya watu unaweza kula cha moto. Sometimes ni pa kwenda utafikiri unakwenda Kibiti - na dua juu !!!