Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4ab89d761c213d6370faa671c569a500.jpg
 
Neymar Da Silva Santos Junior atakuwa analipwa 1.6 billion za kitanzania kwa wiki, zaidi ya million 220 za kitanzania kwa siku. Daaah shikamooni wazazi wote mliokuwa mnatukataza tusicheze mpira ili tukomae na vitabu vya kina Nyambari Nyangwine!

iPhone 7 /A1786)
 
Back
Top Bottom