Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata jambazi akifa kwenye mazishi tunasema marehemu alikuwa mtu mzuriBinadamu ni waongo, hata mwizi hawezi kukubali ni mwizi.
Mchawi mpe mwana akuleleeAfadhali kuwa na jirani mchawi kuliko mwongo.
Hapo ndio huwa kuna akili fulani inakuja ya kuwaza kila kitu kwako unaona ni negative.
Huwa tunaanza kuilazimisha akili kuwqza vitu vizuri ndio jambo gumu