Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2][emoji2][emoji2]kuanzia sasa natembea sambamba na Cole nisipomkuta humu siingii[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi itabidi Cole anashinda humu kwa sababu bila uwepo wako humu mambo hayawi sawia. Andjul pamoja na mkewe + KK watasumbuana na nani ukiwa haupo? Nyote mkiwemo humu uzi huwa unachangamka balaa...
 
Bwana mdogo hakutendei haki shemeji. Yeye ndiye anapaswa kujisiriba haya masilaha na kamwe siyo wewe. Ngoja nitamkalisha chini na kumpa miongozo zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…