Bwana mdogo Cole yuko wapi? Tafrani siitaki leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mihogo ya Tukuyu hii. Si ajabu anayotaka kupelekewa shemeji Carba hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njema kabisa mzee wa mida ya wanga
Tumia web utaona idadi
Si kwema naona figisu zako kama viongozi wa tffMkuu kwema?
Safi sana mkuu,the best comment ever SHIMBA YA BUYENZEMuumbaji ni yule yule mmoja na kila mmoja ni mrembo kivyake. Jina lake Litukuzwe!!!
Tena sanaHahahaa ntaenjoy
buzitata wa kipengaPyeeeepu
Mimba za utotoni hadi kwenye mimea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KipengaPyeeeepu
Tutalipa tu kidogo kidogoKodi lazima ilipwe ππ
Ukila hukosi kipapai!
KaribuNaona vijana wangu, katika ubora wao wameshauteka uzi, wanatiririkanao.πππ
Safi mkuu bado huko maji chumviHabari ya mchana huu kiongozi
Cha muhimu tuko salama. Tumshukuru Mungu!Mkuu kwema.Habari ya majukumu?
Huo mpapai unafanya mambo ya kikubwa wakati bado mdogo