Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimekupata mkuu. Magerezani huko kuna watu wanasota wengine kwa kesi ambazo hazina hata kichwa wala miguu.Naongelea ubinadamu mkuu,bila kujalisha yeye ni nani na ana nini
HahahahaWaziri mpumbavu
huwezi jua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Itakuwa ya kichina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu
HahahahahaMuwe na usiku mwema wapendwa
Ooopsss sorry siku njema
Na kweli kabisa. Kaizari ni lazima apate kilicho chake...Ya Kaizari.... Karibu mkuu
HahahahahaTena ni balanced Eqn
Hajaonekana humu? Mtakuja kumfanya abwage manyanga jamani!Bwana mdogo Cole yuko wapi? Tafrani siitaki leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante mkuu. Coming from you Mfalme wa Busara this means a lotSafi sana mkuu,the best comment ever SHIMBA YA BUYENZE
Ninazozijua ni kuhujumu uchumi na kua na uraia wa nchi mbili,japo zipo 4Nimekupata mkuu. Magerezani huko kuna watu wanasota wengine kwa kesi ambazo hazina hata kichwa wala miguu.
Anakabiliwa na kesi gani ambayo imemfanya wamng'ang'anie namna hii?
Dah hatari sanaHahahaha tunaongeza hangover katikat ya week.
HakikaaaaNothing is impossible under the sun
Stress free zone.Karibu
Kwa nini mkuu
Zipooo chukua hiyoo
Hata million zinafika
Hata tukiwa vipofu misambwanda ilishajiimarisha kitaswira ubongoni. Mwambie haiwezekani !!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiii...carba anaombea misamb...ifutike kwenye macho yetu
[emoji6] [emoji6] [emoji6]