Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
F058
Utandawazi umemuwacha wazi..!!
Hahahahaha hata yeye tutamjaribu tu mbona anaogopaHahaha mpo wengi humu hivyo mgonjwa atapatikana tu humu humu
Greater idea from great leader
Ninayo video yake mpka Leo mojawapo ya hotuba nzuri sana Kilimanjaro hotel ilikuwa
Haijatibu ila ukiitumia vizuri inakukinga na maradhi hayoNumbisa hebu weka vema hapa. Kwamba hiyo pilipili kichaa imetibu hayo maradhi au imesababisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Good night wapendwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huo mpapai unafanya mambo ya kikubwa wakati bado mdogo
Safi sanaKuna kabila moja katika msitu wa Amazon wanakula sana pilipili, na hawapati kansa kirahisi hasa kansa za matumbo, kinywa, na utumbo wa chini. Wanasayansi wamesema kuwa sababu kubwa ni ulaji wa pilipili na wanapendekeza kwamba kula chakula chenye pilipili japo mara moja tu au mbili kwa wiki kunatosha KUMKINGA (siyo kumtibu) mtu na aina mbalimbali za kansa hasa zinazoshambulia utumbo na viungo vingine vya ndani. Hii imethibitishwa kisayansi kwa utafiti mrefu uliochukua zaidi ya miaka 25 na kuchapishwa katika reputable peer reviewed scientific journals.