Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
F059
Nadhani ni hotuba hiyo na ya may mosi 1995 iliyo fanyika Mbeya ndio hotuba bora kabisa na zenye maono yaliyo na afya kwa manufaa ya kizazi chetuNinayo video yake mpka Leo mojawapo ya hotuba nzuri sana Kilimanjaro hotel ilikuwa