Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera kwa kumponyoka mhudumu wa saloon mana alikuweka majaribun[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume sisi majaribu ni kila siku. Sijui ninyi. Na kipindi kile cha utineja ni hatari sana. Tatizo wengine utineja huwa hawauvuki. Unakuta jibaba 50+ lakini tabia zile zile za kitineja. Ni shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…