Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu I hope ulijifunza kitu but acha aende bhanah ili awe jasiri najua kinachokutia mashaka
Kula like hilo mkuu kama ulipita Jkt
Kwa boyz JKT lazima lakini nikiwa na daughter hataenda hata wahamishie jeshi zima la anga nyumbani kwangu. Nilikata mwaka mzima na niliyojifunza mpaka leo yananisaidia maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…