Fanya kwa asilimia unazoweza mkuu ila usiache kufanya.Easily said than done...[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu. Ulienda Vingunguti/Tandika kwenye misambwanda ya ukweli ulikoelekezwa na Carba jana? Kama ulikwenda lete mrejesho please!Hapo ndipo kuna watu wasipo kuona kwa masaa kadhaa huandamana...kumpenda wa chini zaidi kuliko uliye karibu nae juu haina faida kwako,bali kwa anaye pendwa.Utakacho ambulia mpendaji ni THAWABU..Mungu akupe moyo wa upendo zaidi.Asubuhi njema kwako
Lestorofio Gone misto Yegomasika lebrosonfito magreato demito [emoji16] [emoji16]Duu, kiinglishi cha kabila gani hicho mkuu?
Huu ni mtihani kwa wengi. Hapo mbele nilikuwa nasali kwanza kila nikiamka lakini sasa ni simu kukimbilia kwenye likes. Itabidi nijirekebishe ASAP!!!Hapa nisha fail kwakwel mana nimestuka tu simu iko mkononi[emoji2][emoji2]...