Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kudilemba kunona muyangu, kendalinde mzobazinga SHIMBA YA BUYENZE na wote hapa Kijijini amani kwenu Rungune, aiiiiiiiii [emoji17] [emoji17].

Kama hujaelewa subiri wakati wa kuwasilisha hoja binafsi hapa mjengoni.
 
Kudilemba kunona muyangu, kendalinde mzobazinga SHIMBA YA BUYENZE na wote hapa Kijijini amani kwenu Rungune, aiiiiiiiii [emoji17] [emoji17].

Kama hujaelewa subiri wakati wa kuwasilisha hoja binafsi hapa mjengoni.
Ukiendelea hivi, nitakutimua bungeni muda si mrefu. Unavunja kanuni kuhusu lugha rasmi za bunge hili tukufu !!!
 
Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya hivyo viinilishe havipatikani kirahisi katika vyakula vingi vya kisasa.

Zifuatazo ni faida 10 za kiafya zitokanazo na kula mayai kama zilivyothibitishwa katika tafiti nyingi duniani:
 
1. Mayai yana virutubisho vya kushangaza

Mayai ni moja ya vyakula vyenye virutubisho vizuri zaidi katika sayari dunia.

Yai moja zima lina viinilishe vyote vinavyohitajika kuibadili seli moja kuwa kifaranga cha kuku.
 
Yai moja kubwa lililochemshwa lina:

Vitamin A: 6%
Folate: 5%
Vitamin B5: 7%
Vitamin B12: 9%
Vitamin B2: 15%
Phosphorus: 9%
Selenium: 22% o

Mayai pia yana kiasi cha kutosha cha Vitamini D, Vitamini E, Vitamini K, Vitamini B6, kalsiamu na Zinki.
 
Yai moja pia linakuja na kalori au nishati 77, gramu 6 za protini na gramu 5 za mafuta yenye afya au mafuta safi kwa ajili ya mwili (healthy fats).

Mayai pia yana viinilishe vingine vidogo vidogo (trace nutrients) ambavyo ni mhimu kwa afya bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…