Wanawake wembamba ni hatariii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Imechukua muda mrefu lakini hatimaye mamlaka ya udhibiti wa vyakula na madawa ya Marekani (FDA) imetoa mwongozo rasmi kuhusu mayai na kuthibitisha kuwa mayai yana faida nyingi za kiafya na hayasababishi ongezeko la lehemu mbaya (bad cholesterol) kama ilivyodhaniwa huko nyuma. Mwongozo huu umetolewa baada ya utafiti wa muda mrefu.Asilimia 70 ya walaji wa mayai hawapati kabisa kuongezeka kwa kolesto .
. Asilimia 30 ya walaji wanaripotiwa kuwa wanatokewa kuongezeka kwa kolesto
3. Mayai huuongeza Msongamano wa juu wa lipoprotini kolesteroli (Kolesto nzuri)
Mayai huuongeza Msongamano wa juu wa lipoprotini kolesto ijulikanayo kwa kiingereza kama ‘High Density Lipoprotein’ (HDL). Ambayo hujulikana kama ni kolesto nzuri, maana kuna kolesto nzuri na kolesto mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dooohWanawake wembamba ni hatariii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️