Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani mkuu ungetaka ungeweza kuwa memba wa muhimu sana katika uzi huu. Shida yako unakuja hapa unapost tu halafu unasepa. Hutoi like hata moja...Verse of the Day
Waebrania 8:6
Lakini Yesu amepewa huduma iliyo bora zaidi kuliko yao, kama vile lile agano ambalo yeye ni mpatanishi wake, lilivyo bora zaidi kuliko lile la zamani. Agano hili jipya limejengwa juu ya ahadi bora zaidi.
Commentary
Agano la Kale ni agano la kupendeza la upendo, kama Mungu anavyowaokoa wanadamu na kuanzisha mpango wake wa neema kutuleta kwa Yesu. Lakini kama nguvu kama ile agano la kale lilikuwa, tumekuja kwenye agano lingine lenye daraja ya juu kwa sababu mpatanishi wa agano jipya ni Yesu, ambaye ni dhabihu kamili na dhamana ya ahadi kubwa za Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahi..ila likes kwanzaDah! Nimekumbuka kipolo cha wali maharage ngoja niamke fasta nikapige vitu
Mkuu umeomba ruhusa kwa Mzee wa Liver/Masaki? Subiri aje utaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutakia BARAKA ZOTE na mafanikio yote! Katika kila jambo ufanyalo Goddess Isis
Gr8 kwa kweliHabari yako Goddess Isis
Lugha ngumu hio kaelewa mwenyewe tuKama umeelewa toa tafsiri bageshi!
AMUN RANakutakia BARAKA ZOTE na mafanikio yote! Katika kila jambo ufanyalo Goddess Isis
Na iwe hivyo kama unenavyo!Nakutakia BARAKA ZOTE na mafanikio yote! Katika kila jambo ufanyalo Goddess Isis
Bado ni waziri...Waziri mpumbavu
huwezi jua
Yan umenifanya nitamani zege daah