The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Na ndiye aliyewahi kuwapiga Madrid hat-trick tena Barcelona wakiwa pungufu na cr7 alikuwepo uwanjani.Messi ndiye mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwenye mechi ya el classico
Magoli 21,vile vile ndiye aliyepiga pasi nyingi za magoli,pasi 13
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli watuache na AMUN RA yetu!Tufanye yetu wao watafanya yao cha muhimu
Amani
Amani
Amani
Lay a low profileTufanye yetu wao watafanya yao cha muhimu
Amani
Amani
Amani
Hana masihara mbele ya goliKing leo la pulga
KINGWakenya nyinyi ni watu Clever lakini linapokuja suala la ukabila mnakuwa wajinga wakubwa. Tafadhali badilikeni sasa mjenge nchi yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaUnafukua makaburi Eeeh!!
Love youYes
My sweatheart
Yule jamaa kama jiniNa ndiye aliyewahi kuwapiga Madrid hat-trick tena Barcelona wakiwa pungufu na cr7 alikuwepo uwanjani.
XhakaLacca Boom hahahahaaGranit xhaka
Shaka zulu
Mzee wa miwaXhakaLacca Boom hahahahaa
AMUN RA11:03
AMUN RA