cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Njoo hapa kwanza mbona uniambiiNgoja nisepe zangu
Nilimwachia naniii yule eeh huyo huyoTisa tisa ilinikamata
Mbona leo hukuja kunishitua twende shamba kwa tisa tisa
Hayo ni kwa wingi maana hata shamba ninalo...Nilijua lazima iwe Kyela maana nao ni wazima kwa michikichi. Tuletee hayo mawese kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nilimwachia naniii yule eeh huyo huyo
Mpira ukiisha unipe matokeo sawa eehTisa tisa ilinikamata
Mbona leo hukuja kunishitua twende shamba kwa tisa tisa
Usikae mbali..Mkimaliza kuangalia mpira mniambie nije kusafisha humu
Mpira na tafiti !??Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito mikubwa wamekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, akili nyingi na wamekuwa wakiishi kwa muda mrefu kutokana na kutokuzeeka mapema.
Pole kama ulihofu.Mimi ni wa tofauti,ukitaka kuniona naghafirika nidhurumu hela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa
Ntakwambia keshoNjoo hapa kwanza mbona uniambii