Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Afya ya Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Cyril Masawe anasema samaki wana umuhimu katika afya ya mama na mtoto na iwapo mama hatapata Omega 3 ya kutosha anaongeza hatari ya kupata postpartum depression, ‘mtoto mwenye uzito mdogo’, uchungu wa mapema (preterm labour), ‘mtoto kuzaliwa kabla ya muda’, au kulazimika kuzaa kwa upasuaji.
 
Watoto ambao wamepata Omega 3 ya kutosha wameonyesha kuwa na umakini mkubwa na upeo mzuri kuliko watoto wengine. Pia, hukua kwa haraka zaidi kuliko yule ambaye hakupata kiambata hicho na huwa mtunzaji mzuri wa kumbukumbu. Hupunguza matatizo ya kitabia, na kwa watu wazima hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti na saratani nyinginezo.
 
4a24a5021397e9a539701b4453ecbad5.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom