Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni vizuri kupata Omega 3 ya kutosha kupitia mlo wa kila siku. Wakati wa ujauzito mwanamke anashauriwa kupata angalau gramu 250 kila siku na katika kipindi cha mwisho (miezi mitatu ya mwisho) kwa sababu katika kipindi hiki mtoto hutumia asilimia 70 ya Omega 3 kujenga ubongo wake na mfumo wake wa neva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…