Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lionel Messi of Barcelona and Cristiano Ronaldo of Real Madrid are joint all-time top scorers of the Champions League with 77 goals each. Messi can add to his tally as his team is expected to play in the final against Juventus in Berlin
 
Mambo hayo ni kama kujihisi kama ametua kwenye mwezi anaposoma habari za mwanaanga aliyekwenda mwezini, kujihisi kama anasafiri jangwani akiwa juu ya mgongo wa ngamia au kujihisi kama yuko kwenye kisiwa fulani katika bahari pana ya Hindi.
Asee safi sana. Nilijihisi nipo jangwani ( Kalahari ?) na tena milimani na nchi ya kichawi Ukukuana, niliposoma kitabu "King Solomon mines"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawaonea huruma wasiopenda kusoma vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…