mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaGODDESS ISIS DADANGU. MBONA SIKU HIZI HUNIPI LIKES?
Hahahahaha Shimba yaMZEE WA MASAKI PUNGUZA WIVU
Hahahahaha dahMKEREWE MJANJA
Wapi uniqUNIQ; BRING BACK HO CHI MINH
Msg sentANDJUL RUDI TUKUYU USITELEKEZE FAMILIA KWA SABABU YA MISAMBWANDA YA DAR
Haahah mie mwenyewe man u ila jana baada ya ushindi ikabidi niwe madrid maana zote nazipendaHahahahaha
A
Man u wa nakuona
Nzuri carbaHabarini za asubuh wapendwa
AminaNimeshamaliza mimi "kucheza na spoiler"
Tukutane baada ya masaa saba - hadi manane hivi.
Nyote nawatakia Jumatano njema.
Mungu Atulinde na kutubariki....
Poa mkuu
HahahahahaNilimuona ila Cole hakuwepo so nilikuwa na aman
Unakosa amani timu yako ikifungwa achana nao kabisaSi mpenzi tu wa mpira na sijataka kuufatilia
Morning BobGood morning
Morning NumbisaHuku shwari kabisa
Morning Mkuu
Morning too mzeeMorning Numbisa
Morning MkuuAsubuhi na Jumatano njema!
Njema Kumekuchaaa za kwako. Pole na kipigo cha jana
Rashidi Makame huyu