Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani mimi sitaki sikia kabisa!
Nilikuwa campaign manager wa mtu fulani alikuwa anataka ubunge!
Yaani we sikia tu!
Ndiyo maana baada ya uchaguzi watu wanakufa!
Yaani it's stress on the highest degree!
Watu wanauza nyumba walahi!
Duh!
Hapana kabisa!
Siasa ni no WAY!
Usirudie tena my love utapata ugonjwa wa moyo bure
Siasa si hasa
 
Screenshot_2017-08-09-13-01-33.png
 
Back
Top Bottom