Usirudie tena my love utapata ugonjwa wa moyo bureYaani mimi sitaki sikia kabisa!
Nilikuwa campaign manager wa mtu fulani alikuwa anataka ubunge!
Yaani we sikia tu!
Ndiyo maana baada ya uchaguzi watu wanakufa!
Yaani it's stress on the highest degree!
Watu wanauza nyumba walahi!
Duh!
Hapana kabisa!
Siasa ni no WAY!
Atulize mzuka
Good afternoonGood afternoon wanalikes
Sana kukubali kushindwa ndiyo uungwanaNdio uungwana
Thanks a lot my dearWord of the day walahi!
Yaani wewe ni nabii tosha kabisa!
Ni binadamu wachache sana wanao ona the way you observe things walahi!
Believe me sky is not a limit for you!
Endelea ku trust your intuition my love!