Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mzee liver Habari za jioniCole word
Nzuri my princess hawayuuuuJamani habari ya saa hii
HahahahahaKwa jinsi uzi huu ulivyo mrefu nadhani tutaingia nao mwaka 2020
Hapa Kazi tuNa TZ je??
AMUN RA3:54
AMUN RA
Yamefikia wapi?Tupeni updates za mazungumzo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nina muda sijamtafuta mjomba wacha niwahi zangu.Nilitarajia hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mawe Tu au cyoNaogopa kuutaja ili kulinda hadhi ya uzi. Ngoja tu nitaje NDONDI/NGUMI/MASUMBWI/SWEET SCIENCE....
Kabisa shimba hakuna jipyaHapo ndo patamu sasa. Ndo maana wakati mwingine watu wanachoka na machafuko yanatokea. Cha kushangaza zaidi, na pengine hata kusikitisha, hawa wanaopigana kuingia madarakani nao wakiingia mambo ni yale yale. Ni nadra sana kwa zao la mfumo ule ule kutoa watu wenye mawazo na falsafa tofauti. Matokeo yake nchi zetu hizi ziko pale pale tunapiga maktaimu...
Ni wewe tu mkuu