Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati mwingine wewe unayechukiwa inawezekana umefanya jambo ambalo ni baya bila kujitambua. Kwa mfano imefikia mahali ukaonekana una akili kupita kawaida ambapo unaitumia akili hiyo katika eneo la kazi watu wakuogope. Kutokana na hali hiyo ukachukiwa, hakikisha hauonyeshi hisia zako pindi unapochukiwa.
 
Hivyo, yule au watu wale wanaokuchukia eneo la kazi wataweza kuficha hisia zao hizo kwa kuwa wametambua wewe sio mtu mbaya kwao. Mtu anaweza kukuchukia katika kazi kutokana na wivu, kutokujiamini ama hofu.
 
Duh tutajua mengi kwenye hizi election
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni jinsi gani utawazuia watu wasikuchukie katika eneo la kazi.
Kwa mfano umejua kuwa Fulani anakuchukia katika kazi kwa sababu anakuonea wivu, katika hali ya namna hii, unaweza kumsaidia mtu huyo nje na kazi kulainisha hali yake ya kuwa na wivu na kumpunguzia asikuchukie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…