Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mara ya ngapi hii anagombea?
Ni mara ya tatu au ya nne hivi kwa Raila nadhani atosheke aachie wengine. Ni sawa na huyu wa kwetu toka visiwani, yeye amegombea mara tano lakini bado anaivizia fursa ya kugombea tena. Siasa hizi ni usanii mtupu. Gongeni likes tusije tukawaibua watu toka mafichoni na kuamsha hisia za watu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4dbfe2b0b18d9b33b32879c6e23add46.jpg
The Rock
Namkubali huyu jamaa
 
Dereva hawezi kukubali aendeshe kwa mwendo wa kufika haraka,atakuwa amejikatiri starehe yake mwenyewe.Ukii zoom utaona anavyo enjoy,abiria wote watatu wanahusika
Dereva akaendesha mwendo wa haraka kidogo then akafunga breki ghafla yani ile vuuup mara wasikia imoooooo[emoji23][emoji23][emoji23]nawaza tu kwa sauti
 
Back
Top Bottom