carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huyo mwenye nyumba anaroho mbaya khaaMgeni hauruhusiwi kulala katika nyumba hiyo kwa madai kwamba anajaza choo.
Sharti lingine ni mpangaji harusisiwi kuoga zaidi ya mara mbili kisa eti atajaza shimo la maji taka.
Kuna mwalimu wangu wa English Mama Kasila aisee nilikutana naye kwanza azeeki yuko vile vile tu 50,000 ilinitoka regardless viboko vyakeAmina.Malezi yale kwa akina sisi tulio lelewa na mama pekee yalifaa sana.Nakumbuka class VI mtihani wa kumaliza nilishika nafasi ya kwanza,lakini mahudhurio kwa term sikufikisha hata siku 50 nilizoingia darasani,muda wa zawadi niliitwa mbele,badala ya kupewa madaftari, rula,mkebe na biki nilirambwa fimbo 10 nakushushwa nafasi hadi wa tano nikakosa zawadi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu mkubwa nimejenga nae jirani sasa,najisikia fahari kufundishwa nae (mama Mwalituke) namuombea maisha marefu
Je ile ya kila fimbo moja Sema AsanteHahaha kuna anayecheka akichapwa,cheka uongezewe
Ningepanga hapo angekoma,napika chakula najaza chumvi na pilipili hatari[emoji23][emoji23][emoji23]angefurahi na roho yakeKila mpangaji atakayepika chakula ni lazima ampakulie na kumpelekea kwenye sahani yake. kwa mfano mpo wapangaji nne basi wote wanne wapeleke sahani za ugali na mboga kwake..
Kila mpangaji akipata mgeni lazima amtaarifu muda aliofika na atako ondoka.
Lakini kule wanako tushawishi tuupate huo kuna michango mingi ajabu.Yesu alihudumia watu alio wakusanya lakini sasa ni kinyume,walio kusanywa ndio wahudumiaji wakuu wa mkusanyaji.Mungu atunusuru kwa hili,kujaribiwa ni kwingi...
Hiyo nyumba wapangaji wanakaa bure?mambo mengine ya kipuuzi kuliko hata upuuzi wenyeweVituko katika nyumba hiyo ni masharti aliyokuwa kuwa nayo mwenye nyumba huyo. Masharti yake kwa wapangaji ni kama ifuatavyo;
Kwa wapangaji wote ni lazima asubuhi kabla haujafanya jambo lolote umfuate ndani mwake ukamsalimie kama amelala unatakiwa pia umwamshe ili asalimiwe.
[emoji818]Post post nalike zote
Umesema???Hii dhambi siwezi kuifanya aiseeh
[emoji818]Kula chuma cha likes