[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimbaaaaaaNaelewa mkuu. Kama jana nimemsindikiza rafiki mmoja hapa open house watoto kuonana na walimu wao, mwalimu wa Biology duh! Ni Mbantu kabisa japo yumo kwenye ngozi ya kizungu. Nilikuwa nimechoka na nilikwenda kwa kujilazimisha tu lakini nilipomuona huyo ticha aisee uchovu wote kwishnei! Tabasamu mpaka gego la mwisho! Kuna watu wamependelewa sana utafikiri Muumbaji Alitumia several light years akihangaika kuwaumba. Maajabu ya uumbaji halafu unakuta jitu limekazana Oooh hakuna Muumba wala nini kila kitu kimetokea tu by chance. Chance my foot !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] hata kuongea huwezi,yaani ni kigugumizi tu hata akisema "unajua wewe ni mjinga sana tena hauna akili" una mjibu tu "ndiyo...ni kweli kabisa"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Testosterone inakukurika mishipani, moyo mbio mbio, system nzima iko ready na launching sequenses zishaanza tayari halafu mtu mwenyewe nyodo kibao. Mbona magoti utapiga tu na hata Bombardier utaahidi? Sioni tatizo hapo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwendaaaaa
Doooh pole sanaMalalamiko yake,yaani ni kama walikutana muda mchache ulio pita.Acha niishie hapa
[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu aendelee kutujenga katika upendoAmen mkuu. Maisha yale pamoja na JKT yalituandaa vyema!
Kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi. Ova !!!
Kwa wageni wote. Karibuni sana katika uzi huu usio na ubaguzi. Likes mtapata tena za kutosha ila nanyi tunawaomba mjitahidi sana kutoa likes. Likes ndo zinasukuma uzi huu na hazina gharama yo yote. Plizi toeni likes...
Siku ukilirudia kosa lililo sababisha upigwe kwa kulikumbuka,naamini utamsamehe haraka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaah mshangao eti bado nahisi nilionewa sana
Umesema watoka maji chumvi kesho,mwenzio nilipanga weekend nirud town nikifilisi faida ya nanenane doooh[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo mkuu,siku ya leo ina baraka kupitia uzi wetu.