Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana mkuu. Hata huko kwao. Uchaguzi wa Bush vs Al Gore kuna kura ziliibwa. Bush asingeshinda. Sema tu wenzetu wepesi sana wa kukubali matokeo. Mpaka leo kuna watu wanaamini kuwa kama Al Gore asingekuwa na kiherehere cha kukubali matokeo, na madai ya wizi wa kura yakafuatiliwa ni wazi angeshinda. Hata wahafidhina akina Rush Limbaugh wanakiri kuhusu hili.

Hata huu wa mwaka jana inawezekena Warusi walifanya yao ili kumsaidia Trump. Kuna mashine za kupigia/kuhesabia kura wanasema inawezekana zilichezewa. Na hawa ni FBI ambao hawapaswi kuwa na chama...Siasa ndivyo zilivyo. Ukishindwa kumshinda mpinzani wako kihalali basi unatumia mbinu zo zote uwezazo...
Angalau wenzetu ni wepesi kukubali matokeo kwa faida ya nchi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom