Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Wewe hapana maana huruma utaiweka pembeni kisa mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo nikupime[emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji436][emoji436]
Angalau wenzetu ni wepesi kukubali matokeo kwa faida ya nchi zao.Hapana mkuu. Hata huko kwao. Uchaguzi wa Bush vs Al Gore kuna kura ziliibwa. Bush asingeshinda. Sema tu wenzetu wepesi sana wa kukubali matokeo. Mpaka leo kuna watu wanaamini kuwa kama Al Gore asingekuwa na kiherehere cha kukubali matokeo, na madai ya wizi wa kura yakafuatiliwa ni wazi angeshinda. Hata wahafidhina akina Rush Limbaugh wanakiri kuhusu hili.
Hata huu wa mwaka jana inawezekena Warusi walifanya yao ili kumsaidia Trump. Kuna mashine za kupigia/kuhesabia kura wanasema inawezekana zilichezewa. Na hawa ni FBI ambao hawapaswi kuwa na chama...Siasa ndivyo zilivyo. Ukishindwa kumshinda mpinzani wako kihalali basi unatumia mbinu zo zote uwezazo...
Kama kawaida mkuuKama ilivyoada nyakati zateu ndio hizi
We kivuli cha andjul maparachichi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kivuli chako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo sijui anashida gani hakai anakuja na kusepa sijui kuna mtu anamvizia[emoji23][emoji23]Kapotea huyu mbona kimya
Humu wengi ni wa kipindi cha kuelekea mfumo wa vyama vingi au ndani ya mfumo wa vyama vingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu jaribu kumuuliza Andjul. Naamini atakuwa na jibu sahihi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jovitha mbona hukunipa taarifa kama unaumwa ili tuumwe wote?Ndiyo nimepona, nikajua utakuja hat nyumbani kunisalimiq holaa[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me nikufanyie hivyo wewe?x??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wewe hapana maana huruma utaiweka pembeni kisa mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndugu yangu[emoji15] kichwa kichafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niache hukoWe kivuli cha andjul maparachichi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuwa nakusubiri@Kichwa Kichafu mtuhumiwa kaja huku[emoji23][emoji23]Humu wengi ni wa kipindi cha kuelekea mfumo wa vyama vingi au ndani ya mfumo wa vyama vingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]