moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Weekend hii matendo yatendweWamesema hakuna kulala mpaka Makapuku wapigwe chini. sasa hivi indicator imeshawashwa rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weekend hii matendo yatendweWamesema hakuna kulala mpaka Makapuku wapigwe chini. sasa hivi indicator imeshawashwa rasmi.
Sasa hivi tungekuwa tumelala[emoji23][emoji23][emoji23]maisha hayaTungekua tunakula pale tunapopata chakula tu,aisee watu tusingeteseka namna hii
Siyo mchezo,ukiwa unasoma facts za viumbe vingine lazima utoe saluti nyingi kwa Allah,God almightyNa kweli maana nazidi kushangaa tu na hizi facts
Mbona umepotea ghafla??Happy Friday, everyone!
Morning...kuna toto la kisomali kule umeona??
Wake au wachumba wasingetukimbiaSasa hivi tungekuwa tumelala[emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya
Mbona umepotea ghafla??
Happy friday
Good morning
Kabisa yani[emoji2][emoji2]Wake au wachumba wasingetukimbia
Unakula kiporo saahii??
Mungu fundi acha tuSiyo mchezo,ukiwa unasoma facts za viumbe vingine lazima utoe saluti nyingi kwa Allah,God almighty