mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good morning Katavi
Nenda mwaya kasome tu me nimebaki naugulia maumivu mana naona kama tumeshindwa hiviHeeeeeeeeeh balaa ujue sa baba mtu atarudi kweli???
Asante mamy ngoja niende kulisoma
Mahondaw wa Smart911
Kwamba ulirudi kumalizia usingizi ama??karibu tena sisi bado tupoGood morning all
Wanalikes
Acha kabisaTungekuwa na mahusiano yenye furaha kwakweli tamaa zote tupa kule[emoji2][emoji2]
Word6. Kuamini Wewe ni Mifupa na nyama tu!
Hili ni kosa kubwa sana maishani, wengi huamini binadamu n mifupa na nyama tu, hivyo hakuna hata ya kufanya kazi kwa bidii kwa kuwa tu “eti” Mwisho wa siku tutakufa na kuzikwa! Je, Unawaachia nini wanao na kizazi chako? Je kwa nini hasa Mungu alitupa utashi tofauti na Mbuzi na wanyama wengine?
Kumbuka, Tungeamua kuamini kuwa sisi ni Nyama na mifupa tu, kusingekuwa na Magari, Simu, Majengo ya kisasa, na Hata hii dini tuliyonayo tusingeipata.
“do your part, make world a better place”