Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Heart broken zingepungua,mana nyingi husababishwa na njaaKabisa yani[emoji2][emoji2]
Aiseeh!pole kwa kukwazika,ila humu watu tunataniana kwahiyo usichukulie kila kitu personal,hopely tutaendelea kukuona humu...I didn't like of what happened! I'm not that kind of a guy! Niko JF since 2009 sijawahi kupata ban wala warning!
Naye ni mzee wa liver pekeeKuna mtu mmoja tu humu atakayeweza kukupa jibu la uhakika...
Huyo huyo kaumba viumbe mbali mbali vyenye sifa mbalimbali wakiwemo chura hahahaMungu fundi acha tu
Tungekuwa na mahusiano yenye furaha kwakweli tamaa zote tupa kule[emoji2][emoji2]Heart broken zingepungua,mana nyingi husababishwa na njaa
hahahaha