Hawa wanasababisha hasara[emoji35][emoji35][emoji35]Great white sharks are picky eaters. Their diet requires lots of fat, and after one bite a great white shark can determine whether or not the meal will satisfy its nutritional needs. If it doesn’t, the shark will leave the rest and swim away.
Ikiwa usiku ulikuwa mrefu kwako kwa furaha, hongera. lakini ikiwa usiku wako ulikuwa mrefu kwa karaha, pole, pole sanaSijawahi kuwa na usiku mrefu kama leo
AminaBaraka za Mwenyezi Mungu ziwe nasi
AminaIwe siku njema kwetu
Tutafika 1000k+ by the end of this yearAfter 1.5 months compared to their 1.5 years. Uzi huu ni shidaaa !!!
Hasara kubwaHawa wanasababisha hasara[emoji35][emoji35][emoji35]
AsanteeNawaalika kuja kunywa chai wote nyumbani kwangu asubuhi ya leo
Good familyLa familia...
Siji tenaSasa wale mtakao kuja kunywa chai kwangu,mje na vitafunwa,chai ama kahawa au juice kwa wale msiotumia chai ama kahawa...kwangu mtapata mkeka na maji ya kunawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gulio bora kabisa