Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sikuwahi kuona hii thread; nimecheka hadi sina hamu. Yaani, ni kama watu kwenda kanisani na mchungaji akaahidi utabarikiwa tu. Haijalishi umetoka kufanya nini, na nani.. unaamini utabarikiwa tu. Haya nibarikini na mimi nanyi mtabarikiwa!
Hata sisi hatukutarajia ujio wako hapa, utapata likes za kishindo kwa wingi post zako, pia ukiwadondoshea likes waungwana wengine hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya masikio angepewa kichafu kichwa ingekuwa mtafutano ubuyu wa majumba yote hadharani
Hahahhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…