mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AmeshaelewaAiseeh!pole kwa kukwazika,ila humu watu tunataniana kwahiyo usichukulie kila kitu personal,hopely tutaendelea kukuona humu...
Pole sana kwa kukwazika,utusamehe tu[emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu morning
Kinywaji bora kabisa hichoAisee nimezoea kahawa vibaya
Kwenye chura embu fafanua kidogoHuyo huyo kaumba viumbe mbali mbali vyenye sifa mbalimbali wakiwemo chura hahaha
HatariHahahahaha
Hahahahaha ParadiseTungekuwa na mahusiano yenye furaha kwakweli tamaa zote tupa kule[emoji2][emoji2]
Shule imefanya kazi nzuri sana ya kukulazimisha kujilinganisha na wengine kwenye kila jambo unalofanya. Hii ni kwa sababu shuleni ulikuwa unafanya mtihani mmoja na wanafunzi wengine wote hivyo kupimwa kwa kulinganishwa.
YapKwamba ulirudi kumalizia usingizi ama??karibu tena sisi bado tupo
Kitu protein kwa wingiSiendi kokote aisee! Mello akitaka kuleta zake za kuleta namtafutia senene tu anatuliza mpira! [emoji3]